Familia ya Glory Omary Kivugo wa USA rivel inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Mary ana
Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Glory Omary Kivugo wa USA rivel inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Mary anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tisa(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane (30/8/2025)Arusha.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 20/08/2025
Kwa Mawasiliano
0625-958177 Saumu Abasi (Mary)
0754-550559 Glory Omaru Kivugo
Saumu Abasi Tupa (Mary)
Statistics
Created today: 50
Created yesterday: 77
Created 7 days: 911
Created 30 days: 2651
All ecards: 354281
Copyright by CreateGreetingCards.eu