Familia ya Glory Omary Kivugo wa USA rivel inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Saumu Aba
Create a similar
Send a card
Zbieramy na nowe darmowe kartki!
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Glory Omary Kivugo wa USA rivel inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Saumu Abasi Tupa (Mary) anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tisa(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane (30/8/2025)Arusha.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 20/08/2025
Kwa Mawasiliano
0625-958177 Saumu Abasi (Mary)
0754-550559 Glory Omaru Kivugo
"Mwenyezi Mungu akubariki sana.."
Statistics
Created today: 89
Created yesterday: 295
Created 7 days: 913
Created 30 days: 2601
All ecards: 354128
Copyright by CreateGreetingCards.eu