Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya GOLDEN LOTH SANGA inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa MILKA G SANGA anataraj

Familia ya GOLDEN LOTH SANGA inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa MILKA G SANGA anataraj
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya GOLDEN LOTH SANGA inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa MILKA G SANGA anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa TISA(2024).

Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(SENDOFF) inaYotarajiwa kufanyika TAREHE 14/9/2024


MICHANGO ITATOLEWA KUPITIA
PHONE NO;0757 009 523 ( MPESA)
NAME ;ELISHA SANGA
OR
PHONE NO;
NAME ;

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/10/2022

Kwa Mawasiliano
0784457356 Nancy Mligha
0767264373 Jeff Mligha

NANCY MELKIZEDECK MLIGHA.
Similar cards
Inspirations
Ljiljana, Mato, LaraWe cordially invite your esteemed presence on the auspicious occasion of our sonIt gives me immense pleasure to invite you and your family for my marriage with S. RamyaSave the date
 
 16 June 2018#Jamia Shaadi MahalPalvancha Krishna
Statistics Created today: 92 Created yesterday: 86 Created 7 days: 729 Created 30 days: 3108 All ecards: 312318
Copyright by CreateGreetingCards.eu