Familia ya Grayson Mkumbwa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Grayson Mkumbwa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Safieli Mkumbwa
anatarajia kufunga ndoa tarehe 15/11/2025.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/10/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana
Mawasiliano : Safieli Mkumbw 0693591043.
Statistics
Created today: 0
Created yesterday: 161
Created 7 days: 520
Created 30 days: 2898
All ecards: 355636
Copyright by CreateGreetingCards.eu