Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo fu

Ads
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo fu
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi, Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh

.............................................
kuwa vjana wao wapendwa Shaban Hassan Mazila na Mariam bint Hussen Abdallah wanatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :
0621076314
0683973141
0658921812
Similar cards
Inspirations
Saturday, 24th April 2021, at 6.30pm11:30 P.M onwardsBilaspur (Yamunanagar)INVITATION
 
 We request the pleasure of your company to celebrate the 
 
 Engagement CeremonyOn Thursday 28th January 2021Of our Engagement Ceremony
Statistics Created today: 51 Created yesterday: 79 Created 7 days: 426 Created 30 days: 2924 All ecards: 355454
Copyright by CreateGreetingCards.eu