Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi,Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo fur

Ads
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi,Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo fur
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Hassan Mazila wa Kilindi,Tanga na familia ya Hussen Abdallah wa Kiteto,Manyara wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh

.............................................
kuwa vjana wao wapendwa Shaban Hassan Mazila na Mariam bint Hussen Abdallah wanatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :
0621076314
0683973141
0658921812
Similar cards
Inspirations
Sh. Ramesh Kumar Kapil & familyFamilia ya Bw WILLIAM PETRO NTWALO wa Ibadakuli inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaOn Friday, 19 January 2023From - Savita GavasHaldi Ceremony Of Shalini & SurajAkula Jyothi & Krishna Rao , warmly invites you to
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 12 Created 7 days: 72 Created 30 days: 340 All ecards: 359828
Copyright by CreateGreetingCards.eu