Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya ibadi wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya ibadi wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya ibadi wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Thani Omari Mustafa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Mohamed 0713387644
Thani 0785 779751
Similar cards
Inspirations
Let us celebrate togetherOn Thursday , 15 February 2024Venue : Palladium Plus, F-202II श्री गणेशाय नमः IIOn Saturday, 21 January 2023Familia ya Ostaz.Ally Amri wa Ulongoni A
Statistics Created today: 27 Created yesterday: 73 Created 7 days: 1635 Created 30 days: 3690 All ecards: 328939
Copyright by CreateGreetingCards.eu