Familia ya Israely Kivuyo wa Arusha Likamba inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Nosim Is
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Israely Kivuyo wa Arusha Likamba inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Nosim Israely Kivuyo anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Nne(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa Nne.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/04/2024
Kwa Mawasiliano
0743799725
Nosim Israely Kivuyo
Statistics
Created today: 2
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1521
Created 30 days: 3643
All ecards: 329058
Copyright by CreateGreetingCards.eu