Familia ya Jackson B. Mutoka wa Banana Kipunguni, Dar es Salaam
Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Jackson B. Mutoka wa Banana Kipunguni, Dar es Salaam
wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Mh/Mch/Bw/Bi/Ndg/Prof/Dk
----------------------------------------
Mchango kwajili ya kufanikisha sherehe ya kijana wao mpendwa
DEOGRATIUS JACKSON MUTOKA
Anayotarajiwa kufanyika Tarehe 20/07/2024
Hivyo basi, Familia hii kwa kutambua umuhimu wako tunaomba mchango wako ili kufanikisha sherehe hii.
Tafadhari wasilisha mchango wako kupitia
Jina: Deogratius Mutoka
Tigopesa: 0674874711
Mpesa: 0767084747
Airtel: 0684781475
Familia kwa ujumla ikishilikiana na kamati kuu tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubaliki kwa mchango/ushirikiano wako.
MAWASILIANO
0684781475 DEOGRATIUS MUTOKA
0754304094 JACKSON MUTOKA
ASANTE.
Statistics
Created today: 7
Created yesterday: 77
Created 7 days: 868
Created 30 days: 2608
All ecards: 354238
Copyright by CreateGreetingCards.eu