Familia ya Joseph Aloyce inayofuraha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Joseph Aloyce inayofuraha
kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Nimrod Joseph
anatarajia kufunga ndoa takatifu tarehe 16/06/2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu
na familia hii unaombwa mchango wako wa
hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia
kabla ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa
aliyekupa kadi hii
Double 30000/=
Single 25000/=
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano :ELIUM KIBONA 0652610199
NIMROD JOSEPH 0718473722
HURUMA RUHUHA 0684150414
Statistics
Created today: 95
Created yesterday: 138
Created 7 days: 893
Created 30 days: 2649
All ecards: 327633
Copyright by CreateGreetingCards.eu