Familia ya Joseph na Josephine Kitakwa wa Tabata Segerea inayofuraha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Joseph na Josephine Kitakwa wa Tabata Segerea inayofuraha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw & Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
...............................................
kuwa kijana wao mpendwa
Kalinde Joseph Kitakwa
anatarajia kufunga ndoa November 2, 2024.
Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kabla ya tarehe 31/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana.
Mawasiliano: 0659370744 au 0625577167
Statistics
Created today: 56
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1664
Created 30 days: 3719
All ecards: 328968
Copyright by CreateGreetingCards.eu