Familia ya Josephat Massawe wa kibosho umbwe(Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Sendoff
Familia ya Josephat Massawe wa kibosho umbwe(Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Josephine Massawe anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa nane.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/08/2023
Kwa Mawasiliano
0656816336 Josephine Massawe
0622073148 Josephat Massawe
0712280354 Deogratius Bwire
Statistics
Created today: 134
Created yesterday: 95
Created 7 days: 875
Created 30 days: 2611
All ecards: 327534
Copyright by CreateGreetingCards.eu