Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Kanali Apollo Mufuruki wa Isamilo,Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Kanali Apollo Mufuruki wa Isamilo,Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Kanali Apollo Mufuruki wa Isamilo,Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
Keneth Rugarabamu Mufuruki
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa tisa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shukrani zetu za dhati
Mwenyezi Mungu akulipe kheri

Mawasiliano : Stella Kombi 0713387644
Similar cards
Inspirations
In loving memory of our beloved Late Shri Mahender Kumar ( Titu )Mr & Mrs FarmanAli palsaniyaSaturday 24th February 2024, 11:01 am🎉 Happy Birthday, Mithil Sir! 🎉In the name of Allah,the most gracious,the most mercifulDaughter of P. Jagadish Vidhya
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 18 Created 7 days: 67 Created 30 days: 343 All ecards: 359643
Copyright by CreateGreetingCards.eu