Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Maj Hassan Hussein Rajab wa Mapinga Bagamoyo Pwani, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Maj Hassan Hussein Rajab wa Mapinga Bagamoyo Pwani, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Maj Hassan Hussein Rajab wa Mapinga Bagamoyo Pwani, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Rajab Hassan Rajab
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbli.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/12/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Farida Magige 0714950760
Rajab Rajab 0695346347
Similar cards
Inspirations
From: Mrs. Madhavi YeoleOn Saturday, 6th February 2021Goodwill Nirmiti, A wing 507, 5th floor PuneSmt OmBati Devi & Sri Jeet Pal Singh Chouhan cordially invite youLalitha Sahasranama Stotram Parayanam and Haldi Kumkum Invitation (Ladies Only)Time: 2.00 pm onwards
Statistics Created today: 9 Created yesterday: 6 Created 7 days: 64 Created 30 days: 282 All ecards: 360266
Copyright by CreateGreetingCards.eu