Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya MALITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya MALITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Familia ya MALITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Christina
Maliatabu Nchana
anatarajia kufunga ndoa
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/12/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akawalipe mlipotoa

Mawasiliano : Mungo Awabariki
0688129308
0762376148
Similar cards
Inspirations
ADELTA URIOOn Monday , 22 January 20241766 Dance Court, MiltonOn Thursday, 4th JanuaryOn Saturday,9th April 2022On Thursday , 26 th December 24
Statistics Created today: 21 Created yesterday: 47 Created 7 days: 350 Created 30 days: 1472 All ecards: 352182
Copyright by CreateGreetingCards.eu