Familia ya Marehemu Arthur Mwaitenda wa Bahari Beach-Ununio, Dar es salaam wanayofuraha kukujulisha/
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Marehemu Arthur Mwaitenda wa Bahari Beach-Ununio, Dar es salaam wanayofuraha kukujulisha/kuwajulisha
Mhe/Dr/Prof/Mr & Mrs/Mr/
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Nsajigwa Mwaitenda anatarajia kufunga ndoa mwanzoni wa mwezi wa kumi (10/2024) jijini Dar es salaam. Hivyo ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha tukio hili muhimu.
Tunashukuru kupata mchango wako kabla au ifikapo tarehe 30/09/2024.
Mchango wako mpatie atakaekupa kadi hii.
Kwa ufafanuzi zaidi wasiliana na
1. Sekela Mwaitenda -0715 769851
2. Remigius Peter-0758 860462
3. Bupe Lugano-0715 812630
4. Ndina Nsaji -0712 213640
Mungu akubariki sana.
Statistics
Created today: 66
Created yesterday: 61
Created 7 days: 952
Created 30 days: 4139
All ecards: 330091
Copyright by CreateGreetingCards.eu