Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Marehemu Mr.& Mrs baraka hamisi wa Dar es Salaam wanapenda kuwakaribisha na kuomba ushiri

Ads
Familia ya Marehemu Mr.& Mrs baraka hamisi wa Dar es Salaam wanapenda kuwakaribisha na kuomba ushiri
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Marehemu Mr.& Mrs baraka hamisi wa Dar es Salaam wanapenda kuwakaribisha na kuomba ushirikiano wenu katika Maandalizi ya shughuli ya kumuaga "sendoff" ya binti yao Amina juma inayotegemea kufanyika mwishoni wa mwezi september 2025.
Ukiwa kama ndugu na rafiki jamaa wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa kutoa ahadi na Michango kabla ya tarehe 15 september 2025.

Nawapenda na Mwenyezi MUNGU awabariki sana n kuwafanyia wepesi.

Mawasiliano/Namba ya kutuma mchango;
M-PESA 0745789345 Amina Juma

nmb 223456689999 Amina juma
Similar cards
Inspirations
Sunday, 14th August, 2022Shimoga (D)
 DatePlease join us for the grand Engagement ofVenue: Dayanand Vedic Vidyalaya School groundVenue:- Shiv Mandir Hall(Mr. & Mrs. Uday Pratap Singh)
Statistics Created today: 4 Created yesterday: 81 Created 7 days: 434 Created 30 days: 2175 All ecards: 337230
Copyright by CreateGreetingCards.eu