Familia ya Marehemu Mr.& Mrs Baraka Juma wa Dar es Salaam wanapenda kuwakaribisha na kuomba ushiriki
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Marehemu Mr.& Mrs Baraka Juma wa Dar es Salaam wanapenda kuwakaribisha na kuomba ushirikiano wenu katika Maandalizi ya shughuli ya kumuaga "sendoff" ya binti yao Amina Juma inayotegemea kufanyika mwishoni wa mwezi JUNE 2025.
Ukiwa kama ndugu na rafiki jamaa wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa kutoa ahadi na Michango kabla ya tarehe 15 June 2025.
Nawapenda na Mwenyezi MUNGU awabariki sana n kuwafanyia wepesi.
Mawasiliano/Namba ya kutuma mchango;
M-PESA 0745689277 Juma
nbm 658935597559959
Statistics
Created today: 48
Created yesterday: 78
Created 7 days: 622
Created 30 days: 2250
All ecards: 336596
Copyright by CreateGreetingCards.eu