Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na k

Ads
Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na k
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Marehemu Mwl.Archard Kutagga na Mwl.Joniah Kajuna wa Bukoba-Omubweya, wakishirikiana na kamati ya harusi,wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba/kuwaomba
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Prof./Mwl/Eng./Ust./Sheik./Mch

.............................................
Mchango wa hali na mali ili kufanikisha sherehe ya harusi ya vijana wao wapendwa
DIOCLES R.ARCHARD NA ESTHER EMMANUEL
Wanaotarajia kufunga ndoa tarehe 18.08.2024 BUKOBA-MJINI.
Kwa kuwa wewe ni ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii mchango wako una thamani kubwa sana kwetu ili kufanikisha sherehe hii Muhimu.
Tafadhali mpatie mchango wako aliyekupa kadi hii kabla ya tarehe 01.08.2024.Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana.
Mawasiliano zaidi: Diocles R.Archard 0756 840 913/ 0657 840 913
“Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao” Mhubiri 4:9
Similar cards
Inspirations
Venue : C2-1202, Tuscan ParklandOn Friday, 1st Sept 2023On Wednesday,18 January 2023Familia ya Marehemu Arthur Mwaitenda wa Bahari Beach-Ununio, Dar es salaam wanayofuraha kukujulisha/Krushnaji Nagar47 Baywood Road, Etobicoke, ON, M9V 3YB
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 12 Created 7 days: 60 Created 30 days: 269 All ecards: 360222
Copyright by CreateGreetingCards.eu