Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mch Joseph

Ads
Familia ya Mch Joseph
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA HARUSI

Familia ya Mch Joseph
Mbitiyiponya wa
SENGEREMA(BUKALA)inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
ESTER L.MAGINYA
..............................
kwenye kikao cha kwanza Cha maandalizi ya harusi ya mtoto wao mpendwa SELEMAN JOSEPH MBITI
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika katika ukumbi WA kanisa la PAG SENGEREMA MJINI tarehe 19/05/2024 Siku ya J/pili saa 13:00 Mchana
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki.
Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli hii.

Mawasiliano :0768141444
0765161682
Similar cards
Inspirations
Gauri-ganpati Haldi Kumkum InvitationFamilia ya Bw&Bibi William Kombi wa Sengerema inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaOn Sunday 15 th January 2023F bangle ceremony to celebrate the coming wedding of
 
 Gagandeep Kaur
 D/O sdn Kulwant kaur & SFollowed by Prasad and snacks
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 18 Created 7 days: 102 Created 30 days: 337 All ecards: 359453
Copyright by CreateGreetingCards.eu