Familia ya MESHACK LOTH NDAGILE wa Mbeya Tukuyu inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa DORC
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya MESHACK LOTH NDAGILE wa Mbeya Tukuyu inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa DORCAS MESHACK NDAGILE anatarajia kufunga ndoa mwishoni wa mwezi wa Sita 6 2025
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa Sita
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 12/06/2025
Kwa Mawasiliano zaidi
0683496266 Dorcas Meshack
Statistics
Created today: 63
Created yesterday: 83
Created 7 days: 492
Created 30 days: 2233
All ecards: 337477
Copyright by CreateGreetingCards.eu