FAMILIA YA MGENI MOHAMED INAYOFURAHA KUKUALIKA
Create a similar
Send a card
The content of the card
ASSALAMU ALAYKUM
FAMILIA YA MGENI MOHAMED INAYOFURAHA KUKUALIKA
Bibi:.............................................
Katika Sherehe ya akdi ya watoto wake Wapendwa
AMINA
NA
ABDUL
ITAKAYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KIDUTANI, SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 07.jUNI
SAA 10:00 JIONI.
KUFIKA KWAKO NDIO MAFANIKIO YA SHUGHULI HII
AHSANTE.
Statistics
Created today: 37
Created yesterday: 138
Created 7 days: 835
Created 30 days: 2591
All ecards: 327575
Copyright by CreateGreetingCards.eu