Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mh. Yusuph Said wa M/nyamala Ujiji inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mh. Yusuph Said wa M/nyamala Ujiji inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mh. Yusuph Said wa M/nyamala Ujiji inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.................................

kuwa kijana wao mpendwa Kasimu Yusuph Said
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Nne
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/03/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Amina 0682699 461
Mhe Abdallah +255627538440
Similar cards
Inspirations
We would like to invite you for the closing of Fire Service Week-2023 and prize distribution for theOn Thursaday, 30th December 2021We cordially invite you and your family on the occasion of Margashirsha Guruvar Haldi Kumkum CeremonDate : 30th January(Sunday) 2022Time: 5PM to 9PMOn sunday, 21th January ,2024 10:30am onwards
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 8 Created 7 days: 53 Created 30 days: 256 All ecards: 360087
Copyright by CreateGreetingCards.eu