Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya MLITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya MLITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Familia ya MLITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Christina Maliatabu Nchana
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/12/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akawalipe mlipotoa

Mawasiliano : Mungo Awabariki
0688129308
0762376148
Similar cards
Inspirations
I cordially invite you to attend haldi kumkum of Varalakshmi pooja on friday, 25 August 2023Venue : E1-1101, Kingsbury, Pride world city6584 Apt 201, Arbour CourtNavchandi Yagna & Vastu Ceremony InvitationKufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/09/2024DR STELLA
Statistics Created today: 10 Created yesterday: 14 Created 7 days: 69 Created 30 days: 340 All ecards: 359515
Copyright by CreateGreetingCards.eu