Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mr.Ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoani lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mr.Ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoani lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
UFAZILI/MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mr.Ahmadi kumtubi wa kilwa kisiwani mkoani lindi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Ismaila Ahmadi
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa Ufazili/Mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo Ufazili/mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/07/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Ismaila Ahmadi 0686083738
Au 0629183738
Similar cards
Inspirations
On Saturday,28 January 2023Please do join us to celebrateVenue : Kalamboli HomeSHARVIL 5TH Bornahan InvitationMiss/LUCYWonder, Your
Statistics Created today: 72 Created yesterday: 72 Created 7 days: 481 Created 30 days: 2918 All ecards: 355547
Copyright by CreateGreetingCards.eu