Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya MR. CLETUS MACHANINGA wa Chidachi Dododma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya MR. CLETUS MACHANINGA wa Chidachi Dododma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Sendoff
Familia ya MR. CLETUS MACHANINGA wa Chidachi Dododma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kua wanatarajia kumuaga binti yao mpendwa Agiriphina Cletus Machaniga tar 13/11/2024 mkoani dodoma.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Single 60,000 & double 100,000
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii au kwa njia ya simu/benki kama zilivyo orodheshwa hapo chini
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.

CRDB ACCOUNT 0152706368300 Jina AGRIPHINA CLETUS
Airtel number +255 685 608 907 NSALU SAMSON
Similar cards
Inspirations
On account of our Son Khushdeep Chechi BirthdayOn Friday, 26 September 2025|| Jay Mahakali Maa ||Venue : Flat 303 Sri Dhatri Tulip Sai Gowtham Colony PuppalagudaHaldi Kumkum & Bornahane Invitationशुक्रवारी, 26 जानेवारी 2024
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 13 Created 7 days: 39 Created 30 days: 254 All ecards: 360137
Copyright by CreateGreetingCards.eu