Familia ya Mr/Mra Felician Bulingoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr/Mra Felician Bulingoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa EPHAT VERKKS
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi October 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mama Bulingoma 0658637300
Felician Bulingoma 0784444421
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 68
Created 7 days: 912
Created 30 days: 4091
All ecards: 329967
Copyright by CreateGreetingCards.eu