Familia ya Mr & Mrs Amani Bahebura
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr & Mrs Amani Bahebura
wa Mbweni Teta wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
ISAKA AMANI SAIMONI
anatarajia kufunga ndoa tarehe 17/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/08/2024.
Mungu mwenyezi akubariki.
Mawasiliano: 0785194482 Vadasto Mpwepw
0693463584 Isaka Amani
Michango itumwe:
0693463584 Isaka Amani Saimoni
Statistics
Created today: 32
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1640
Created 30 days: 3695
All ecards: 328944
Copyright by CreateGreetingCards.eu