Familia ya Mr&Mrs CASMIR NDEGE inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr&Mrs CASMIR NDEGE inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa BAZIL .S.NDEGE
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane(8).
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 31/07/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
AHSANTE SANA
Mawasiliano : Justine Ndege 0715445151
Florence Gati 0756666708
Statistics
Created today: 15
Created yesterday: 65
Created 7 days: 405
Created 30 days: 2172
All ecards: 337494
Copyright by CreateGreetingCards.eu