Familia ya MR & MRS Ezekiel salingo wa Rukwa
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya MR & MRS Ezekiel salingo wa Rukwa
-sumbawanga inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Victoria salingo anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa sita.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hi kabla ya tarehe 20/06/2025
Kwa Mawasiliano
0747124387
victoria salingo
Statistics
Created today: 28
Created yesterday: 55
Created 7 days: 436
Created 30 days: 2210
All ecards: 337173
Copyright by CreateGreetingCards.eu