Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya MR & MRS SAHANI wa BUZA DAR ES SALAAM inayo furaha kukutaarifu

Ads
Familia ya MR & MRS SAHANI wa BUZA DAR ES SALAAM inayo furaha kukutaarifu
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya MR & MRS SAHANI wa BUZA DAR ES SALAAM inayo furaha kukutaarifu
Ndg

.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao ARON SAHANI Mpendwa anayetarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa 12.
Kikao cha kwanza kinategemea kufanyika 25/May/2025
Police bend dar es salaam
Saa 10:30 jion

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Kiwango cha kamati ni 300,000+


Mawasiliano :0656 933 726
:0699 387 115
Similar cards
Inspirations
Hotel The Grand BansariPlease save the date!!! 4th july 2019Landmark - Parker MallFor the Wedding Ceremony ofTogether with our parents we invite you and your family to grace the occasion of our wedding 
 
 MidNever forget the love of your life
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 47 Created 7 days: 394 Created 30 days: 2163 All ecards: 337725
Copyright by CreateGreetingCards.eu