Familia ya MR & MRS SWAlO wa NJOMBE -MAFINGA inayo furaha kukujulisha kuwa vijana wao mpendwa Samw
Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya MR & MRS SWAlO wa NJOMBE -MAFINGA inayo furaha kukujulisha kuwa vijana wao mpendwa Samweli kenadi swalo &Victoria Ezekiel salingo
wanatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa sita.
single -50,000/=
double -70,000/=
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 20/06/2025
Kwa Mawasiliano
0769623072
samweli swalo
Statistics
Created today: 38
Created yesterday: 75
Created 7 days: 569
Created 30 days: 2925
All ecards: 355825
Copyright by CreateGreetingCards.eu