Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mwalimu KAPIGA wa KADASHI inayo furaha kukutaarifu

Ads
Familia ya Mwalimu KAPIGA wa KADASHI inayo furaha kukutaarifu
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Mwalimu KAPIGA wa KADASHI inayo furaha kukutaarifu
Ndg

.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa anayetarajia kufunga ndoa mwezi wa 9.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaombwa ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.


Mawasiliano : 0786686126
0756930500
Similar cards
Inspirations
Adinath Bhavan, Wada compound, Angol, BelgaumOn April 19th 2026Mony of 
 
 Samir
 and 
 Dipal
 
 On May 23rd 2021 at 11"Destiny brought us together and now love will seal our bond forever"Mwalimu Joyce Simon HauleCelebrate God Dhana ceremony of
Statistics Created today: 6 Created yesterday: 11 Created 7 days: 105 Created 30 days: 378 All ecards: 360577
Copyright by CreateGreetingCards.eu