Familia ya Mwalimu Peter Funuki wa Tanga
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi
Familia ya Mwalimu Peter Funuki wa Tanga
Mjni inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.....................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati
maandalizi ya Harusi ya kijana wao
Mpendiwa anayetarajia kufunga ndoa
mwanzoni mwa mwezi wa 12/2023.
Ukiwa kama ndugu jamaa na rafiki wa
karibu na familia hii tunaomba ushiriki
wako wa karibu kufanikisha shughuli hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mawasiliano : Mwenyekiti 0712 415 592
Katibu 0768 550 173
Statistics
Created today: 71
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1772
Created 30 days: 3721
All ecards: 328910
Copyright by CreateGreetingCards.eu