Familia ya Mwl.Augustines Muhoja inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Augustines Muhoja inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Philibert Augustines Muhoja
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa 7/12/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu Akubaliki
Statistics
Created today: 9
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1617
Created 30 days: 3672
All ecards: 328921
Copyright by CreateGreetingCards.eu