Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mwl.Francis Samata wa Luwawasi Songea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Familia ya Mwl.Francis Samata wa Luwawasi Songea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Francis Samata wa Luwawasi Songea inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

........................................
kuwa kijana wao mpendwa Francis Samata
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa 11.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/10/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Na Mungu Akubariki.

Mawasiliano : 0766529513,0621062676
FRANCIS SAMATA
Similar cards
Inspirations
Gardens Housing BoardYou are invited for Haldi Kumkum at my placeVenue : B-1606TejalYou are cordially invited to the join the joyous occassion ofOn Saturday, 13th February 2021
Statistics Created today: 79 Created yesterday: 86 Created 7 days: 716 Created 30 days: 3095 All ecards: 312305
Copyright by CreateGreetingCards.eu