Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mwl.Hassan mpukuche wa mkundi morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mwl.Hassan mpukuche wa mkundi morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
chango Wa Harusi
Familia ya Mwl.Hassan mpukuche wa mkundi morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Haji Mpukuche
anatarajia kufunga ndoa 4/4/2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano :
Haji Mpukuche
0715 763436
0766 280606
Similar cards
Inspirations
OM Namah amha shivay shiv ji sada ShayeTime 7:00am - 8:00 amInvitation For Guru Ka LangarHALDI-KUMKUM and DHRITI||ॐ जय गणेशाय नमः||29 October 2022 ( Saturday ) at 5PM Evening
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 12 Created 7 days: 57 Created 30 days: 375 All ecards: 360596
Copyright by CreateGreetingCards.eu