Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mwl.Ibrahimu Ntugwa wa Makao-Meatu inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mwl.Ibrahimu Ntugwa wa Makao-Meatu inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mwl.Ibrahimu Ntugwa wa Makao-Meatu inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Cyprian Ibrahimu Ntugwa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : 0629157537 Halopesa
Jina: Cyprian Ibrahimu ntugwa
Similar cards
Inspirations
From - Mrs. Jayshri Praful Parsutkar FamilyOn Saturday, 21st January 2024Bhog of path on 30th May at 09:00 a.mVenue : 2P-17, Kalyani B10 February 2024On Sunday 30January 2022
Statistics Created today: 6 Created yesterday: 74 Created 7 days: 1593 Created 30 days: 3658 All ecards: 328992
Copyright by CreateGreetingCards.eu