Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mwl.Omari Mustafa na Bi.Salma Ally Nzige wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwaju

Ads
Familia ya Mwl.Omari Mustafa na Bi.Salma Ally Nzige wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwaju
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi

Familia ya Mwl.Omari Mustafa na Bi.Salma Ally Nzige wa barabara ya 4 inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

............................................ kuwa kijana wao mpendwa Thani Omari Mustafa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa Tsh.30000 ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Mohamed 0713387644
Thani 0785 779751
Similar cards
Inspirations
Sanah Helwah Sepupu Tersayang Intan ZabidinSmt Ujla & Sri Surjit singh DalpatiaOn this auspicious occasion of Devi NavaratriTime: 5 to 7pmHaldi Kumkum Invitation 
 (Shravan month)
 
 
 On Friday
Statistics Created today: 7 Created yesterday: 14 Created 7 days: 66 Created 30 days: 337 All ecards: 359512
Copyright by CreateGreetingCards.eu