Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Aloyce Ryamoja wa Musoma Mara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Aloyce Ryamoja wa Musoma Mara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Aloyce Ryamoja wa Musoma Mara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Bw.Joshua A Ryamoja
anatarajia kufunga ndoa na Bi.Christina A Mona mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 10/12/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati;
Mungu akubariki!!!

Single - 50,000/-
Double - 70,000/-

Mawasiliano:
Joshua - 0744 422658
Theresia - 0713 986686
Similar cards
Inspirations
Hotel Oriental Towers A/C Hall, ThanjavurNew Aspirations, and a Desire to Achieve new horizons, We are stepping into a new beginning ofBe in LOVE FOREVER !
 
 Join my brotherA special day in life where in twolives,two hearts.get united forever in love will inturn out to beAnd your family to the auspicious occasion of my elderTwo loving hearts are getting united and making a promise
Statistics Created today: 3 Created yesterday: 8 Created 7 days: 50 Created 30 days: 294 All ecards: 359904
Copyright by CreateGreetingCards.eu