Create a similar
Send a card
The content of the card
Familia ya mzee KIMARIO wa Babati - Manyara wanayofuraha kubwa kukualika/kuwaalika bi,bwn,shekh,ostz,mch,ndg,jamaa,rafk
…………………………………………………………………
Katika harusi ya kijana wao mpwendwa
EMMANUEL BERNARD KIMARIO
anayetarajia kufunga ndoa na
FATUMA HARUNA SAIDI
wa Kabuku-Tanga.
Ndoa inatarajiwa kufungwa tarehe 25/04/2025, Tanga.
Ukiwa kama ndugu/jamaa wa karibu wa familia,
tunaomba mchongo wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe hiyo.
Tafadhali mchango wako wasilisha kwa aliyekupatia
kadi hii.
Mawasiliano: 0764044732
Wabillah Tawfiqh