Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Makungu wa Katunguru/sengerema/Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Makungu wa Katunguru/sengerema/Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Send off
Familia ya Mzee Makungu wa Katunguru/sengerema/Mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Pdr

.............................................
kuwa Binti yao mpendwa Salome Makungu
anatarajia kufanyiwa sherehe ya kumuaga (send off) mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 09/11/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
MUNGU akubaliki asante.

Mawasiliano: Silivester Makungu
0698 989 456
Similar cards
Inspirations
On Wednesday,18 January 2023Venue : Geeta ShahB705, ParvataraVenue : No. 30, Cenatoph Road, TeynmapetOn Thursday, 8 February 2024From - Neha Sarode
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 68 Created 7 days: 909 Created 30 days: 4088 All ecards: 329964
Copyright by CreateGreetingCards.eu