Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Omari Ngwalangwala wa Ilolangulu Tabora inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Omari Ngwalangwala wa Ilolangulu Tabora inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Omari Ngwalangwala wa Ilolangulu Tabora inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Shabani Omari Ngwalangwala
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii

MCHANGO NI 5000 TSHS.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mzee Ngwalangwala 0686097207
mwl Hans 0688889798
Similar cards
Inspirations
On Thursday, 4th JanuaryTime: 8:30 onwardsFamilia ya Bw.Godfrey Makungu wa katunguru/sengerema/mwanza inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaOn Thursday day , 18 January 2024On Saturday, 17 January 2023I would Like to have your blessings on the occasion Of Vaibhav Lakshmi Udyapan
Statistics Created today: 46 Created yesterday: 73 Created 7 days: 612 Created 30 days: 2251 All ecards: 336667
Copyright by CreateGreetingCards.eu