Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Ramadhan Omar Gombo wa Mkwajuni, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Ramadhan Omar Gombo wa Mkwajuni, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ramadhan Omar Gombo wa Mkwajuni, inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Hussein Ramadhan
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/11/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri!

Mawasiliano : Baba Hussein( Mzee Gombo) 0729677261
Mama Hussein - 0721797821
Similar cards
Inspirations
GurmatkalFamilia ya Bw&Bibi William Kombi wa Sengerema inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaYou are cordially invited to Tambulam/Haldi Kumkum on the occasion of Sravana Maasa Varalakshmi VratVenue : A-701, 45 Shashwat AvenueWith love from Grand Children :Venue : J1, D Block, VM Apartments, Bangalore
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 5 Created 7 days: 30 Created 30 days: 316 All ecards: 360768
Copyright by CreateGreetingCards.eu