Familia ya Mzee Toshi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Toshi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Thani Omari Mustafa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa nane.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/07/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mama Brian 0713387644
Thani 0785 779751
Statistics
Created today: 30
Created yesterday: 73
Created 7 days: 1638
Created 30 days: 3693
All ecards: 328942
Copyright by CreateGreetingCards.eu