Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Zabron Funuki wa Tanga Mjini wanayo furaha

Ads
Familia ya Mzee Zabron Funuki wa Tanga Mjini wanayo furaha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi

Familia ya Mzee Zabron Funuki wa Tanga Mjini wanayo furaha
kukujulisha

Bw/Bibi/Miss/Mhe/Mr&Mrs/Ndg

kuwa kijana wao mpendwa Peter Zabron Funuki
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa 12/2023.Ukiwa kama nduqu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali kufanikisha shughuli hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako
tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.

Mwisho wa mchango ni tarehe 25/11/2023

kabidhi mchango wako kwa aliyekupa kadi hii

Mungu anafurahi tunapotoa kwa Moyo.

kiwango:Double 50,000/=
single 30,000/=

Mawasiliano : Mwenyekiti 0712 415 592
Katibu 0768 550 173
Similar cards
Inspirations
From - Shivani Gogale99 Bryant ApartmentSULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha MOM RUTH kuwa kijana waoWe,Pragadeesh & anusha Cordially invite you all to grace the auspicious occasion of Ayush homam cereMR & MRS LUBANGULAVenue : B-1804, Teenmurty Summit, Magathane, Borivali-east
Statistics Created today: 34 Created yesterday: 44 Created 7 days: 362 Created 30 days: 1471 All ecards: 352148
Copyright by CreateGreetingCards.eu