Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Ndg.Jua Kali wa Katuka inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Ndg.Jua Kali wa Katuka inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Ndg.Jua Kali wa Katuka inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa
anatarajia kufunga ndo tarehe 13/07/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Ili kukamilisha shughuli hii.
Single 20,000/= na
double 40,000/=.
Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Mohamed 0713387644
Thani 0785 779751
Similar cards
Inspirations
12 November 2024, Tuesday at 10amWe are invite you to join Ekadashi vrat udyapan on Date 8 april thursday22 January 2023 TimeVenue : 1604/B wing ,Sanghvi S3 Eco-cityLalitha Sahasranama Stotram Chanting"Ruaansh
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 124 Created 7 days: 583 Created 30 days: 1927 All ecards: 353216
Copyright by CreateGreetingCards.eu