Familia ya Nicodemas R. Kiloloma wa Barabara ya Kasulu(Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa binti y
Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Nicodemas R. Kiloloma wa Barabara ya Kasulu(Uvinza) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Bakita N. Kiloloma anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa saba(2023).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa saba.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/10/2022
Kwa Mawasiliano
0743 802 781 Bakita Nicodemas
0757 594 646 Nicodemas Kiloloma
BAKITA NICODEMAS KILOLOMA.
Statistics
Created today: 56
Created yesterday: 50
Created 7 days: 888
Created 30 days: 2618
All ecards: 354337
Copyright by CreateGreetingCards.eu