Familia ya Ostaz.Ally Amri wa Ulongoni A
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Ostaz.Ally Amri wa Ulongoni A,
Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa Binti yao mpendwa RAHMA ALLY
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 25/06/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano
0652 537325
0785 513117
Statistics
Created today: 7
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1594
Created 30 days: 3659
All ecards: 328993
Copyright by CreateGreetingCards.eu