Familia ya PAUL BENJAMIN JOSEPH wa BUNDA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya PAUL BENJAMIN JOSEPH wa BUNDA inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa PETER JOSEPH PAUL
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/09/2025 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : 0652908261
Statistics
Created today: 14
Created yesterday: 70
Created 7 days: 350
Created 30 days: 1456
All ecards: 352084
Copyright by CreateGreetingCards.eu